PIKNU
  1. AzamTV

#AzamTV Photos & Videos

AzamTV - 21k posts

PICHA KAMA inkujaa inakataaa In babu @tidmusic voice, Happy Birthday @pinky_raufa Brand ambassader wa @vunja_bei_toto xo @gettowear_streetlook Ceo @fred_vunjabei @papizo73 na Mama ake @syhra_pinky
.
.
.
PLEASE HELP ME TO WISH HAPPY B.DAY To @pinky_raufa #9DEC #uhuruwaTanzania #azamtv

Maafa ya mvua huko dar es salaam
#maafayamvua
#zbc2
#azamtv
#azamsports2
#azamsporthd
#vodacompremierleague

“Nidhamu kwetu ni muhimu kama tunataka tufikie malengo tuliyokusudia. Na haya ndio yaliyotufanya bodi tuchukue maamuzi magumu kwa kocha wetu. Timu imeshindwa kufikia malengo, kisha nidhamu hakuna, alafu tuvumilie? Sisi tunawalipa vizuri mno, na wao wana wajibu wa kutulipa matokeo na furaha. Na ili furaha iwepo, lazima nidhamu isimamiwe kikamilifu, na katika hili hatutanii. Hatutajali ukubwa wa jina la mchezaji yoyote. SIMBA lazima tuamue kuteseka na moja katika mambo haya mawili: (1) tuzoee uchungu na maumivu ya nidhamu au (2) maumivu ya matokeo mabaya. Kama mpenzi wa SIMBA, siwezi kujitoa wala kuvumilia matokeo mabaya kwa sababu ya mapungufu ya nidhamu.” — Mo #SSCAGM2019
.
.
#GoalTz .
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#GoalTzUpdate #goal #sisinisoka #SimbaRaha #michezo #yangasc #NguvuMoja #ThisIsSimba #sisinimashahiditu #TukutaneMei23 #SimbaScBreakingNews #saimon_simba #azamtv #SimbaLineUp #azam #yangasc #LaLigaWorld #LaLiga #football #footballnews #usa #london #Tanzania #Mwanza #washkajizangu #wasafi #epl #cr7 #leomessi .

Please share this promo.... Unaweza andika Caption yako binafsi ili kuhamasisha watu kutazama show hii jumatatu tarehe 9 December 2019 ndani ya Utv.

Mwisho Tag
#Buzuki9december
#Utv
#azamtv
#9December2019

Premier league top scorers after match week 16 👏👏👏💪💪🔥🔥🔥.
.
Vardy on fire load to European Golden Boot 😂😂😂😂
.
Follow @collegeoffootball
⚽⚽⚽⚽⚽🔥🔥👏👏
.
#premierleague #vardy #kane #aubameyang #simba #simbasc #yangasc #messi #leomessi #yangafans #youngafricans #yangampya #sokaplace #sokalabongo #wapendasoka #mpirawabongo #wasafitv #priscakishamba #shaffidauda #samagoal77 #simbafans #lukinjatigana #edokumwembe #wasafitv #azamsports2 #azamtv #sportsextra #sportsarena #shadrackjanga #dominicksalamba
HALACOF👏👏👏🔥🔥🔥🔥⚽⚽⚽⚽

TIMU YANGU FURAHA YANGU💚
.

Ahadi kubwa alizo tuhaidi wakati wa kampeni. dkt Msolla .

1. Kuhakikisha aliye kua Kocha wa timu yetu Mwinyi Zahera anapatiwa pesa yote ya usajili BL 1.5 hilo hatujui kama lilitimia au laa!

2. Kuhakikisha anabadirisha mfomo wa timu kutoka kutegemea wanachama na kwenda kwenye mfumo wa kisasa wauwekezaji na hilo alisema kabla ya miezi 6 ya uongozi wake atakua ashalikamilisha. lakini hadi leo hakuna hata dalili na sasa yupo mdarakini kwa miezi 7 na hajaitisha hata mkutano mkuu wa wanachama kuwaeleza nini kina Endelea juu ya hilo. Pia tukumbuke alisema kama hata fanya hivyo ndani ya miezi 6 atajiuzuru nafasi yake. Swali je tokea tumchague Mei 5, hadi leo December miezi 6 haija kamilika bado? Na kama imeisha yeye anafanya nini pele klabuni wakati ahadi yake imeshindwa kutimia?
TUAMKENI WANANCHI TUNATAKA MABADIRIKO SIO KAMATI
.
.
Follow @mutz_7 @mutz_7
.
.
@mahundi_sweetbert92_
@yanga_sc_group_of_supporters @yangafulldoz @yanga_news_fasta_ @esauyanga_ @habibu_yanga @yangasc_bingwa .
.
.
#Azamtv #azamtvtz #azamtvapp #azamtvupdates #azamtwo #azamsports2 #alikiba #kingkiba #kingsmusic #King #kingsmusicrecords #kiba #millardayosports #milladayoupdates #simba #samagoal77 #yangasc #daimambele #Vpl

Sifa kubwa ya sungura ni mnyama ambae anashika mimba kwa mwez mmoja pia huzaa watoto kuanzia 5 adi 12 na kila ukimpeleka sungura kwa dume ili umpandishe kuna asilimia 95% za kupata mimba
Hizo ni kati ya sifa za sungura

Simu
0655752854

#sungura #kilimo #biashara #ufugaji #dodoma #kuku #tanzania #azamtv #cloudstv #love #rabbits @bashehussein #machingasmart #chimbolakijanja #app

Luis Suarez amefunga goli LA kwenye kideo goli bora kabsa msimu huu 💪💪🔥🔥👏👏👏👏 .
Follow @collegeoffootball
⚽⚽⚽⚽⚽🔥🔥👏👏
.
#simba #simbasc #yangasc #messi #leomessi #yangafans #youngafricans #yangampya #sokaplace #sokalabongo #wapendasoka #mpirawabongo #wasafitv #priscakishamba #shaffidauda #samagoal77 #simbafans #lukinjatigana #edokumwembe #wasafitv #azamsports2 #azamtv #sportsextra #sportsarena #shadrackjanga #dominicksalamba #giftmash #collegeoffootball
HALACOF👏👏👏🔥🔥🔥🔥⚽⚽⚽⚽

"Tupo mahali pazuri ambapo mishahara na posho mbalimbali vinatolewa kwa wakati. Wachezaji wetu wanalipwa vizuri ikilinganishwa na klabu kama Azam na Yanga ambao ni wapinzani wetu wakubwa. Kiwango cha pesa kinachotumika katika usajili na masuala mengine ni kikubwa pia."- CEO Senzo
.
Haya ni moja kati ya maendeleo muhimu barani Afrika, na klabu chache zinaweza kumudu hatua hii."- CEO Senzo. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Simba ni timu kubwa katika soka la Afrika. Ni jukumu letu sote, hasa kwa wachezaji kufanya vizuri ndani ya uwanja na kuifanya iendelee kutambulika kama klabu kubwa."- CEO Senzo. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Wanachama wakati huu tunafanya mabadiliko katika mfumo wa uendeshaji, mchakato wa uhakiki wa wanachama wetu, uanzishaji wa matawi wa kibiashara, tuvumiliane na kushirikiana, na tutafanya mchakato huu kwa kasi ya kawaida ili msije kuachwa nyuma."- CEO Senzo. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Usajili wa wachezaji utafanyika kwa namna tofauti. Tutatoa mikataba mirefu kwa wachezaji kwa kuzingatia utaratibu wa kitaalamu, kama unataka kucheza hatua ya nusu fainali ya #CAFCL unahitaji kikosi kitakachoweza kukaa pamoja kwa miaka 3-4. "- CEO Senzo. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Tunahitaji pia kutazama kwa kina muundo wetu wa ukuzaji vipaji kuhakikisha kuwa tunatoa wachezaji wetu wenyewe kama ilivyokuwa hapo awali. Tunahitaji kufuata njia hiyo."- CEO Senzo. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Tuna mchezo muhimu na watani wa jadi mwezi Januari. Napenda kuwahakikishia kuwa maandalizi na mambo yote ya mchezo huo yapo tayari. Wachezaji watakuwa kambini na tangazo la nani atakuwa kocha mkuu mpya na benchi la ufundi litatoka rasmi Jumatano ijayo."- CEO Senzo. #NguvuMoja
.
"Ningependa kuchukua maneno machache kutoka kwa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, anasema: “Ili kuwepo na maendeleo .
Follow @collegeoffootball
⚽⚽⚽⚽⚽🔥🔥👏👏
.
#simba #simbasc #yangasc #messi #leomessi #yangafans #youngafricans #yangampya #sokaplace #sokalabongo #wapendasoka #mpirawabongo #wasafitv #priscakishamba #shaffidauda #samagoal77 #simbafans #lukinjatigana #edokumwembe #wasafitv #azamsports2 #azamtv #sportsextra #sportsarena #shadrackjanga #dominicksalamba #giftmash #collegeoffootball
HALACOF👏👏👏🔥🔥🔥🔥⚽⚽⚽⚽

"Siridhishwi hata tone na nidhamu ya baadhi ya wachezaji wetu nje ya uwanja. Nimekuwa mnyonge kuona uwekezaji tuliouweka kwao, baadhi yao, huutumia kama fimbo ya kutuchapia."- Mo Dewji. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Niwaambie wachezaji wote, Simba ni klabu kubwa kweli kweli, tena kubwa hasa, na hakuna shaka ni namba moja Afrika Mashariki, bodi ninayoiongoza mimi haitavumilia mchezaji yoyote asiyejua thamani ya Simba. Kuonyana onyana sasa imetosha."- Mo Dewji. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Sisi tunawalipa vizuri mno, na wao wana wajibu wa kutulipa matokeo na furaha. Na ili furaha iwepo, lazima nidhamu isimamiwe kikamilifu, na katika hili hatutanii. Hatutajali ukubwa wa jina la mchezaji yoyote."- Mo Dewji. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Nidhamu kwetu ni muhimu kama tunataka tufikie malengo tuliyokusudia. Na haya ndio yaliyotufanya bodi tuchukue maamuzi magumu kwa kocha wetu. Timu imeshindwa kufikia malengo, kisha nidhamu hakuna, alafu tuvumilie?"- Mo Dewji. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Simba lazima tuamue kuteseka na moja katika mambo haya mawili, (1) tuzoee uchungu na maumivu ya nidhamu au (2) maumivu ya matokeo mabaya. Kama mpenzi wa Simba, siwezi"- Mo Dewji. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Simba lazima tuamue kuteseka na moja katika mambo haya mawili, (1) tuzoee uchungu na maumivu ya nidhamu au (2) maumivu ya matokeo mabaya. Kama mpenzi wa Simba, siwezi."- Mo Dewji. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Mtaniwia radhi kidogo nimekuwa mkali ila nidhamu kwangu ndio kila kitu. Hata mimi mwenyewe naishi kwa nidhamu, na ndio siri ya mafanikio yangu, na naamini watu wote waliofanikiwa, na taasisi zote zilizofanikiwa msingi wake mkuu ni nidhamu ya kazi."- Mo Dewji. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Klabu yetu imeimarisha sana timu zake za vijana na wanawake, na sasa sisi ni miongoni mwa klabu chache Tanzania zenye timu imara za vijana chini ya miaka 20, na ile ya miaka 17, na tuna timu nzuri ya wanawake, na tunazidi kuziimarisha."- Mo Dewji. #AGM2019 #NguvuMoja
.
Follow @collegeoffootball @collegeoffootball ⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽👏👏👏
.
#simbasc #simba #simbafans #msimbazi #simbanation #samagoal77 #samatta #wasafisportsarena #wasafitv #cloudstv #yangasc #azamtv #shaffidauda #wasafitv #wasafifm #hajimanara #simbasctanzania #tanfootball #modewji

Mungu hakupi Unachokitaka ila anatoa Unachostahiri @heritier_ebenezer
Sunday, Through back Memories.
Appreciate your wellcome again and again.
.
@mahundi_sweetbert92_
@deo_toto
@sekeli_jr
@official__baby_kiduku
@athumani_kahoki_sportsman
@habibu_yanga
@jasminally250
@mary_rhymes97
@yanga_news_fasta_
@jimmykindoki .
Daima Mbele Nyuma Mwiko.
Ili jambo lifanyike kikamilifu kwa asilimia 99.9% lazima changamoto ziwepo na Huwezi Kuishi nazo Siku zote🎶🙏.
Usiseme Sjakwambia
@akili5000
.
#yangampya #yangasc #yanga
#azamtvapp #azamtv #ligikuutanzaniabara

Laliga hatricks records RONALDO VS MESSI 💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Follow @collegeoffootball upate habari za michezo ndani na nje ya Tanzania 🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏
.
#messi #ronaldo #vpl #simbafans #simba #yanga #youngafricans #simbasc #kagere #kageremeddy #shiboub #molinga #sibomana #tshishimbi #lipuli #namungofc #kagerasugar #ndandafc #mtibwasugar #mwadui #alliancefc #azamtv #azamfc #shaffidauda #edokumwembe #kitengemaulidi #priscakishamba #lukinjatigana #wasafisportsarena
HALACOF💪💪🔥🔥🔥🔥🔥⚽⚽

Heung min Son 👏👏💪💪💪🔥🔥one of the best goal of his career
.
What a goal .
Follow @collegeoffootball upate habari za michezo ndani na nje ya Tanzania 🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏
.
#vodacompremierleague #vpl #simbafans #simba #yanga #youngafricans #simbasc #kagere #kageremeddy #shiboub #molinga #sibomana #tshishimbi #lipuli #namungofc #kagerasugar #ndandafc #mtibwasugar #mwadui #alliancefc #azamtv #azamfc #shaffidauda #edokumwembe #kitengemaulidi #priscakishamba #lukinjatigana #wasafisportsarena
HALACOF💪💪🔥🔥🔥🔥🔥⚽⚽

#repost >>> @simbasctanzania >>>>>>
.
"Tupo mahali pazuri ambapo mishahara na posho mbalimbali vinatolewa kwa wakati. Wachezaji wetu wanalipwa vizuri ikilinganishwa na klabu kama Azam na Yanga ambao ni wapinzani wetu wakubwa. Kiwango cha pesa kinachotumika katika usajili na masuala mengine ni kikubwa pia."- CEO Senzo
.
Haya ni moja kati ya maendeleo muhimu barani Afrika, na klabu chache zinaweza kumudu hatua hii."- CEO Senzo. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Simba ni timu kubwa katika soka la Afrika. Ni jukumu letu sote, hasa kwa wachezaji kufanya vizuri ndani ya uwanja na kuifanya iendelee kutambulika kama klabu kubwa."- CEO Senzo. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Wanachama wakati huu tunafanya mabadiliko katika mfumo wa uendeshaji, mchakato wa uhakiki wa wanachama wetu, uanzishaji wa matawi wa kibiashara, tuvumiliane na kushirikiana, na tutafanya mchakato huu kwa kasi ya kawaida ili msije kuachwa nyuma."- CEO Senzo. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Usajili wa wachezaji utafanyika kwa namna tofauti. Tutatoa mikataba mirefu kwa wachezaji kwa kuzingatia utaratibu wa kitaalamu, kama unataka kucheza hatua ya nusu fainali ya #CAFCL unahitaji kikosi kitakachoweza kukaa pamoja kwa miaka 3-4. "- CEO Senzo. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Tunahitaji pia kutazama kwa kina muundo wetu wa ukuzaji vipaji kuhakikisha kuwa tunatoa wachezaji wetu wenyewe kama ilivyokuwa hapo awali. Tunahitaji kufuata njia hiyo."- CEO Senzo. #AGM2019 #NguvuMoja
.
"Tuna mchezo muhimu na watani wa jadi mwezi Januari. Napenda kuwahakikishia kuwa maandalizi na mambo yote ya mchezo huo yapo tayari. Wachezaji watakuwa kambini na tangazo la nani atakuwa kocha mkuu mpya na benchi la ufundi litatoka rasmi Jumatano ijayo."- CEO Senzo. #NguvuMoja
.
"Ningependa kuchukua maneno machache kutoka kwa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, anasema: “Ili kuwepo na maendeleo ya kweli, watu wanapaswa kushirikishwa.” Julius Kambarage Nyerere, kutoka kitabu chake cha Uhuru na Maendeleo mwaka 1973.- CEO Senzo. #NguvuMoja

Antony Joshua has got his belts back after beating chibonge Ruiz Jr 😂😂😂😂😂💪💪💪👏👏🔥🔥🔥
.
Follow @collegeoffootball upate habari za michezo ndani na nje ya Tanzania 🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏
.
#vodacompremierleague #vpl #simbafans #simba #yanga #youngafricans #simbasc #kagere #kageremeddy #shiboub #molinga #sibomana #tshishimbi #lipuli #namungofc #kagerasugar #ndandafc #mtibwasugar #mwadui #alliancefc #azamtv #azamfc #shaffidauda #edokumwembe #kitengemaulidi #priscakishamba #lukinjatigana #wasafisportsarena
HALACOF💪💪🔥🔥🔥🔥🔥⚽⚽

Mashabiki wa Manchester united wamelala mpaka sasa wanauliza waamke saa ngapi masikini akipata 😂😂😂😂😂
.
Manchester is red
.
Follow @collegeoffootball upate habari za michezo ndani na nje ya Tanzania 🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏
.
#vodacompremierleague #vpl #simbafans #simba #yanga #youngafricans #simbasc #kagere #kageremeddy #shiboub #molinga #sibomana #tshishimbi #lipuli #namungofc #kagerasugar #ndandafc #mtibwasugar #mwadui #alliancefc #azamtv #azamfc #shaffidauda #edokumwembe #kitengemaulidi #priscakishamba #lukinjatigana #wasafisportsarena
HALACOF💪💪🔥🔥🔥🔥🔥⚽⚽

Alright Alright Alright.. We don't kill, hell no.. We torture, just like John Cena💃💃💃🔥🔥🔥Another one in "Dj Khalid's #thamagazine show Sunday 09:30Pm or 2130hrs only on #Azamone101 in #Azamtv decoders #wespeak🗣 #entertainmentforeverybody🙌

DAR ES SALAAM!!! ILE SIKU YA MKESHA WA BURUDANI IME WADIA NILEO PALE TEMEKE JIJINI DAR KWENYE UWANJA WA UHURU #TIGOFIESTA2019 INA DONDOKA HAPO. WASANI KIABAO WA TAKUEPO HAPO KUTOA BURDANI YA SAIZI YAKO. LAKINI SASA KUBWA KULIKO NI UWEPO WA MFALUME WA BONGO FREVAAA ALLY SAREHE KIBA🤴 SAMBAMBA KABISA NA VIJANA WAKE WOTE WA KINGSMUSC. MWAMBIE NA MWENZAKO #KING ATAKUEPO BHANA UNAKOSAJE? SIUNAJUA ALIPO KING HUA HAPAOSHI SASA NA NAKWAMBIA TUANZIA NA NGOMA KALI ZA MUDA WOTE KUTOKA KWA #KINGKIBA MABO NI #CINDELELA HADI TUFIKE KWENYE #MSHUMAA 😂 #tigofiesta 2019 saizi yako!

SIKILIZA WEWE SISI NDIO WATALAMU 🤗
.
.
FOLLOW @MUTZ_7 @MUTZ_7
.
.
.
#alikiba #kingkiba #King #kingsmusicrecords #kiba #kingsmusic #samagoal77 #simba #Azamtv #azamtvapp #azamtvupdates #azamtwo #azamsports2 #azamtvapp #millardayosports #milladayoupdates #yangasc #daimambele

Ruiz Jr kibonge aliingia kambi ya jeshi kanaswa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 .
Joshua mwambie kibonge aombe tena rematch game 3 🔥🔥🔥💪💪💪💪
. .
Follow @collegeoffootball upate habari za michezo ndani na nje ya Tanzania 🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏
.
#vodacompremierleague #vpl #simbafans #simba #yanga #youngafricans #simbasc #kagere #kageremeddy #shiboub #molinga #sibomana #tshishimbi #lipuli #namungofc #kagerasugar #ndandafc #mtibwasugar #mwadui #alliancefc #azamtv #azamfc #shaffidauda #edokumwembe #kitengemaulidi #priscakishamba #lukinjatigana #wasafisportsarena
HALACOF💪💪🔥🔥🔥🔥🔥⚽⚽

09.12.1961 #uhuru #tanganyika usikuse kufatilia kesho #09Dec on your favourite channel's @azamtwo @azamutv108 @azamtvtz #burudanikwawote😉 #MTLE #fungamwakanazetunyuz #host #BATS #programminglife hakikisha umelipia decoder yako ya #Azamtv ili upate burudani ya aina yake pekee. #burudanikwawote😉

Yawezekana ilikuwa nzito sana hii ngumi unapigwa kichwani ganzi inakupata miguuni 🙏🙏🙏🙏Tujipange next time ila tupende vya kwetu yaani baada ya kupigwa tunamtangaza kuliko alieshinda😂😂😂
.
Follow @collegeoffootball upate habari za michezo ndani na nje ya Tanzania 🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏
.
#vodacompremierleague #vpl #simbafans #simba #yanga #youngafricans #simbasc #kagere #kageremeddy #shiboub #molinga #sibomana #tshishimbi #lipuli #namungofc #kagerasugar #ndandafc #mtibwasugar #mwadui #alliancefc #azamtv #azamfc #shaffidauda #edokumwembe #kitengemaulidi #priscakishamba #lukinjatigana #wasafisportsarena
HALACOF💪💪🔥🔥🔥🔥🔥⚽⚽

Matokeo Ya Soka Jana
:
EnglandPremierLeague
FT Everton 3 - 1 Chelsea
FT AFC Bournemouth 0 - 3 Liverpool
FT Tottenham Hotspur 5 - 0 Burnley
FT Watford 0 - 0 Crystal Palace
FT Manchester City 1 - 2 Manchester United
:
AfricaChampions League
FT Zesco United 1 - 2 TP Mazembe
FT El Zamalek 2 - 0 Primeiro de Agosto
FT FC Platinum 0 - 3 Etoile du Sahel
FT Petro Atletico 1 - 1 USM Alger
FT Wydad Casablanca 0 - 0 Mamelodi Sundowns FC
:
GermanyBundesliga
FT Borussia Dortmund 5 - 0 Fortuna Düsseldorf
FT Borussia Mönchengladbach 2 - 1 FC Bayern München
FT Augsburg 2 - 1 Mainz 05
FT RasenBallsport Leipzig 3 - 1 Hoffenheim
FT Freiburg 1 - 0 Wolfsburg
FT Bayer Leverkusen 2 - 1 Schalke 04
:
FranceLigue 1
FT Montpellier 1 - 3 Paris Saint-Germain
FT Monaco 3 - 0 Amiens
FT Rennes 2 - 1 Angers
FT Nice 4 - 1 Metz
FT Strasbourg 4 - 2 Toulouse
:
SpainLaLigaSantander
FT Real Madrid 2 - 0 RCD Espanyol
FT Granada 3 - 0 Deportivo Alaves
FT Levante 2 - 4 Valencia
FT Barcelona 5 - 2 Mallorca
:
ItalySerie A
FT Atalanta 3 - 2 Verona
FT Udinese 1 - 1 Napoli
FT Lazio 3 - 1 Juventus
:
BelgiumFirst Division A
FT KV Mechelen 1 - 1 Kortrijk
FT Cercle Brugge 1 - 2 Genk
FT Gent 2 - 0 Zulte Waregem
FT St.Truiden 1 - 2 Club Brugge
:
CECAFA Cup
FT Djibouti 0 - 0 Somalia
FT Uganda 2 - 1 Burundi
:
AlgeriaLigue 1
FT CR Belouizdad 1 - 0 JS Saoura
FT ES Setif 4 - 0 AS Ain Mlila
FT NA Hussein Dey 0 - 1 NC Magra
FT USM Bel Abbes 3 - 1 MC Alger
FT US Biskra 0 - 0 CA Bordj Bou Arreridj
:
KenyaPremierLeague
FT Chemelil Sugar 1 - 2 Western Stima
FT Nzoia Sugar FC 1 - 2 Kakamega Homeboyz
:
MoroccoBotola Pro
FT FUS Rabat 1 - 0 MAT Tetouan
FT Rapide Club Oued Zem 3 - 1 Olympic Club de Safi
:
SouthAfricaPremier League
FT Baroka FC 2 - 2 Orlando Pirates FC
FT Black Leopards FC 0 - 0 Amazulu FC
FT Cape Town City FC 0 - 1 Chippa United FC
FT Kaizer Chiefs 5 - 3 Bloemfontein Celtic
TunisiaLigue I
FT Ben Guerdane 0 - 0 Club Africain
FT CA Bizertin 1 - 1 Etoile Metlaoui
.
.
#GoalTz .
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#GoalTzUpdate #goal #sisinisoka #SimbaRaha #michezo #yangasc #NguvuMoja #ThisIsSimba #sisinimashahiditu #TukutaneMei23 #SimbaScBreakingNews #saimon_simba #azamtv #SimbaLineUp #azam #yangasc #L

DKT. BASHIRU AVUKA LENGO LA MILIONI 150 UJENZI WA UKUMBI WILAYANI NZEGA.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally usiku wa tarehe 7 Desemba, 2019 ameongoza mamia ya wananzega katika harambee ya kuchangia ujenzi wa jengo la ukumbi wa mikutano wa CCM wilayani Nzega.

Katika Harambee hiyo iliyoandaliwa na Kamati ya siasa ya wilaya, lengo lilikuwa kukusanya milioni 150 lakini kutokana na hamasa kubwa iliyopo miongoni mwa wanaCCM na ilifanikisha kukusanya milioni 164.

Katika harambee hiyo Kamati ya Siasa iliomba ukumbi huo uitwe "Dkt. Bashiru" kutokana na mchango wake mkubwa katika kuimarisha Chama, katika hali isiyo ya kawaida Katibu Mkuu alikataa ombi hilo, na kupendekeza jina la aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya TANU, wa kwanza mwanamke kutoka mkoa wa Tabora marehemu Bibi. Amina Maufi na kutoa wito kuwa, "Tuwakumbuke viongozi wetu waliojitolea kukijenga na kukipigania chama chetu, na kila mkoa unawaCCM mashuhuri, wengine walishafariki na wengine wapo hai, tujenge utamaduni wa kukumbuka mchango wao, hivyo napendekeza jina la Amina Maufi aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya TANU mwanamke kutoka mkoa huu wa Tabora, alitoa mchango mkubwa katika chama chetu". Harambee hiyo ni mfululizo wa utaratibu wa WanaCCM kujitolea michango ya hali na mali katika kukiimalisha Chama.

Imetolewa na;
Said Said Nguya
Afisa Habari
Ofisi ya Katibu Mkuu
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
.
.
.
#mumena_the_great #ccmmpyatanzaniampya #hapakazitu #tukutanekazini #tanzania🇹🇿 #tanzania #daressalaam #milllardayo #millardayoupdates #globalpublisher #globaltv #azam #azamtvapp #azamtv #taifa #tanzania #hapakazitu #BungeniDodoma #bungeni #AzamTWO #azamnews #wasafim

Premier league manager of the month nominations 💪👏👏🔥🔥🔥🔥
.
Who deserve it????
.
.
Follow @collegeoffootball
👏👏👏⚽⚽⚽ . #kloop #simbasc #yangasc #primier_league_news #premierleague #sokaplace #sokalabongo #football #sportsnews #sportsextra #sports #soccer #worldsports #primier_league_news #premierleague #epl #mane #wasafisportsarena #wasafitv
#azamtv #lukinjatigana #shaffidauda #priscakishamba #dominicksalamba #simba #yangasc #simbafans #youngafricans #azamfc #azamsports2
.
Halacof 💪💪💪🔥🔥👏👏👏⚽⚽⚽⚽⚽⚽

Premier league player of the month November nominations 💪💪🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏
.
Who deserve it ??
.

Follow @collegeoffootball
👏👏👏⚽⚽⚽ .
#premierleague #primier_league_news #vardy #mane #son #sokaplace #sokalabongo #football #sportsnews #sportsextra #sports #soccer #worldsports #primier_league_news #premierleague #epl #mane #wasafisportsarena #wasafitv
#azamtv #lukinjatigana #shaffidauda #priscakishamba #dominicksalamba #simba #yangasc #simbafans #youngafricans #azamfc #azamsports2
.
Halacof 💪💪💪🔥🔥👏👏👏⚽⚽⚽⚽⚽⚽

JEMBE,JEMBE,JEMBE,JEMBE,JEMBE, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 07 Desemba, 2019 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo – Busisi lenye urefu wa kilometa 3.2 na upana wa mita 28.45 ambalo litakalounganisha mawasiliano ya barabara kati ya Mikoa ya Mwanza na Geita kukatiza Ziwa Victoria.
Sherehe za uwekaji jiwe la msingi zimefanyika katika eneo la Kigongo, Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza na kuhudhuriwa na wananchi na viongozi mbalimbali wakiwemo Spika wa Bunge Mhe. Job Yustino Ndugai, Mawaziri na Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu, viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, Wakuu wa Mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera, Wabunge, viongozi wa taasisi mbalimbali, viongozi wa Dini na viongozi wa vyama vya siasa.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema ujenzi wa daraja hilo pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66 umepangwa kukamilika mwezi Julai 2023 kwa gharama ya jumla ya shilingi Bilioni 699, fedha zote zinatolewa na Serikali ya Tanzania.
Daraja hilo refu kuliko yote Afrika Mashariki, na la 6 kwa urefu Barani Afrika litakuwa mbadala wa vivuko vya MV Misungwi, MV Sengerema na MV Mwanza, na litajengwa kwa teknolojia ya madaraja marefu inayoitwa Extra Dosed Bridge ambapo litajengwa juu ya nguzo 67 zikiwemo nguzo 3 zenye urefu wa meta 40 na umbali wa meta 160 kutoka nguzo moja hadi nyingine.
Mhandisi Mfugale amebainisha kuwa daraja hilo linalojengwa na wakandarasi China Civil Engineering Construction Corporation na China Railway 15 Group Corporation litaondoa adha ya usafiri wa wananchi, mizigo na magari ambayo kwa sasa huvushwa kwa vivuko, na kwamba baada ya ujenzi idadi ya magari yanayovuka kwa siku inatarajiwa kuongezeka kutoka 1,600 hadi 10,200 kwa siku na muda kuvuka utapungua kutoka saa 2:30 hadi dakika 4.
Akizungumza katika sherehe hizo, .
.
.
#mumena_the_great #ccmmpyatanzaniampya #hapakazitu #tukutanekazini #tanzania🇹🇿 #tanzania #daressalaam #milllardayo #millardayoupdates #globalpublisher #globaltv #azam #azamtvapp #azamtv #taifa #tanzania #hapakazitu #BungeniDodoma #bungeni #AzamTWO #azamnews #wasafim

MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA RUVUMA COMREDI RAYMUND MHENGA AKIWASISITIZA VIJANA WA CCM WA NAMTUMBO KUCHANGAMKIA FURSA ZA KIUCHUMI ZITOLEWAZO NA SERIKALI HASA MIKOPO YA BILA RIBA

Aliyasema hayo alipokuwa anazungumza na Baraza la Vijana la Wilaya ya Namtumbo. - @raymundmhenga @uvccmruvuma
.
.
.
.
#mumena_the_great #ccmmpyatanzaniampya #hapakazitu #tukutanekazini #tanzania🇹🇿 #tanzania #daressalaam #milllardayo #millardayoupdates #globalpublisher #globaltv #azam #azamtvapp #azamtv #taifa #tanzania #hapakazitu #BungeniDodoma #bungeni #AzamTWO #azamnews #wasafim

Top #AzamTV posts

Uzuri wa Ally akishapenda wimbo haijalishi una toka wapi yet atasikiliza tu🙌
.
.
Follow @mutz_7 @mutz_7
.
.
.
#Azamtv #azamtvapp #azamtvtz #azamtvupdates #azamtwo #azamsports2 #kingsmusic #kingkiba #kiba #kingsmusicrecords #alikiba #millardayosports #milladayoupdates #samagoal77 #simba #yangasc #daimambele

WAMEYAMALIZA: Bondia Hassan Mwakinyo akipeana mkono na bondia mstaafu Rashid Matumla baada ya Mwakinyo kumuomba radhi Matumla walipokutana leo ndani ya studio za #AzamTV. Mwakinyo ameomba msamaha na Matumla amemsamehe. Hapa ni kama Matumla anasema "dogo yameisha." Mabondia hao wamekutanishwa kumaliza tofauti zilizojitokeza katika pambano ambalo Mwakinyo alimshinda Mfilipino Arnel Tinampay wiki iliyopita. Mwakinyo alidai Matumla amekosa uzalendo kwa kuiponda kambi yake

Ilikuwa ni Wednesday Night LIVE ‘Spesho’ kupitia #AzamSports2

Kama umeikosa jioni hii, show itarudiwa saa 3:30 usiku kwenye chaneli hiyo hiyo #AzamSports2.

Isikupite

#WednesdayNightLive #Mwakinyo #Matumla #MwakinyoVsMatumla

“Hata mimi sijaridhika” – Bondia Hassan Mwakinyo baada ya kuchapa Arnel Tinampay, aeleza ugumu aliokutana nao, asema mpinzani wake anabebwa na uvumilivu , ataja ishu ya gloves kumuangusha, azungumza kuhusu mbinu zake ulingoni. Amaliza kwa kusema “Tunamtaka Manny Pacquiao na Amir Khan waje Tanzania”
.
.
MATOKEO: Jaji wa kwanza ametoa 97-93 , Jaji wa pili akatoa 98-92 na Jaji wa tatu akatoa 96-96.

Kila kitu kilikuwa LIVE #AzamSports2 na #AzamSportsHD

#mwakinyo #tinampay #AzamTV #mwakinyovstinampay #NgumiJiwe #Vitasa #VitasaNight #Masumbwi

#AzamFCBusBranded Timu Bora. Bidhaa Bora #AzamFC #Sarafu #UhaiDrinkingWater #AzamTV

JINA: HAJI MWAINYI MGWALI
TAIFA: TANZANIA (VISIWANI)
UMRI: 25
KILABU YA SASA: KMKM FC (ZNZ)
NAFASI: BEKI WA KUSHOTO

HIVI KARIBU ATAREJEA TENA NYUMBANI DAR YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB. DIRISHA DOGO LA USIJILI LINA FUNGULIWA (DEC 16)
.
.
Follow @mutz_7 #mutz_7
.
.
.
#Azamtv #azamtvapp #azamtvtz #azamtvupdates #azamtwo #azamsports2 #samagoal77 #simba #kingkiba #kingsmusic #kiba #kingsmusic #alikiba #millardayosports #milladayoupdates #yangasc #daimambele #Vpl

MWAKINYO AMPIGA MFILIPINO KWA POINTI: Pambano la Raundi 10 limemalizika, ushindi ukienda kwa Mtanzania Hassan Mwakinyo akimpiga Arnel Tinampay kutoka nchini Ufilipino kwa pointi.

MATOKEO: Jaji wa kwanza ametoa 97-93 , Jaji wa pili akatoa 98-92 na Jaji wa tatu akatoa 96-96.

Weka maoni yako hapa.

Kila kitu kilikuwa LIVE #AzamSports2 na #AzamSportsHD

#mwakinyo #tinampay #AzamTV #mwakinyovstinampay #NgumiJiwe #Vitasa #VitasaNight #Masumbwi

MWAKINYO VS TINAMPAY: Amsha Amsha wakati mabondia wakiingia uliongoni. Mwana FA, Prof Jay, Ommy Dimpoz na Ney wa Mitego ni miongoni mwa wasanii waliomsindikiza Mwakinyo.

Pambano linaendelea.

Tuko LIVE #AzamSports2 na #AzamSportsHD

#UsikuWaVitasa #mwakinyo #tinampay #AzamTV #mwakinyovstinampay #NgumiJiwe #Vitasa #VitasaNight #Masumbwi

ANAITWA @OFFICIALALIKIBA MSANII WA BONGO FREVA. Anaimba kwa ueledi mkubwa hakurupuki sauti yake ina vutia wengi kusilikiza. nyimbo zake zina pendwa na watu warika/jinsia zote watoto kwa wakubwa. Yuko kwenye gemu kwa miaka 17 sasa na bado yupo kwenye ubora uleule hakuwahi kushuka kimziki. Kitu kinacho mafanya awe bora kwa muda mrefu ni steili yake ya uimbaji kwamana ya nyimbo zake anazo toa zimakua na ubora wahali ya juu hutasiki matusi wala video chafu kwenye mziki wa Ally. Hua sina presha kabisa hata pale ninaposikiliza/kutazama nyimbo za msanii huyu hata nikiwa na familia yangu coz najua hakuna kitu kitakocho nifanya nijihisi aibu mbele ya familia. Msanii huyu hua mara nyingi anatoa nyimbo 1/2 kwa mwaka na zinaitikisa nchi. Wala hatumii nguvu nyingi kwenye kutoa nyimbo zake kama wanavyo fanya watu wengine hanaga kiki za ajabu ajabu na mziki wake una fika kwa watu wake wanao penda mziki mzuri kwa urahisi zaidi. Kuna vikundi vya watu asaivi vime jitokeza kushindana na Alikiba huku wakilitumia jina lake kama njia ya kutangaza matamasha yao na nyimbo zao huku wakitaka kumshusha ili wao wawe wakubwa zaidi yake😂. Alikiba kawmwe hawezi kuvuliwa ufalme wake na msanii yoyote yule kwenye taifa hili nyimbo zake zinapendwa Hadi na ndege. Na ahata hao wanao jaribu kumharibia CV wakiwa chumbani kwao wana sikiliza mziki mzuri kutoka kwa KingKiba 🙌.......!
.
.
FOLLOW @MUTZ_7 @MUTZ_7
.
.
.
#kingsmusic #kiba #kingsmusicrecords #KingKiba #alikiba #Azamtv #azamtvupdates #azamtwo #azamtvtz #azamsports2 #azamtvapp #samagoal77 #samagoal77 #simba #yangasc #millardayosports #milladayoupdates #Vpl #daimambele

Next Page